Sauti ya Pwani FM ni kituo cha redio kinachohudumia jamii ya Pwani ya Kenya. Tunatangaza kwa Kiswahili, kwa sauti ya jamii, tukitoa habari, mawaidha, burudani na vipindi vya urithi wa Pwani.
Kauli mbiu yetu ni Sauti ya Pwani, sauti ya jamii inayowasikiliza wasikilizaji wake na kuwapa nafasi ya kuzungumza. Tunajenga uhusiano wa karibu na jamii kwa lugha inayoifahamu.
Programu zetu zinagusa maeneo makuu ya maisha ya pwani: habari, dini, utamaduni, afya, elimu, michezo na muziki. Tunajitahidi kutangaza taarifa zilizothibitishwa na kutoa nafasi kwa sauti mbalimbali za jamii.
Sauti ya Pwani FM is a radio station serving the community of the Kenyan coast. We broadcast in Kiswahili, with the voice of the community, offering news, guidance, entertainment and coastal heritage programming. Our motto is Sauti ya Pwani, the voice of the coast. We aim to broadcast verified information and to give room to the many voices of the community.






