Sauti ya Pwani FM

Mackenzie sentenced to 200 years for murdering children

Mombasa — Mahakama imemhukumu Paul Mackenzie kifungo cha jumla ya miaka 200 kwa makosa yanayohusiana na vifo vya watoto katika eneo la Shakahola.

Jaji Diana Kavedza alitoa miaka 100 kwa kosa la kuwanyima chakula na miaka 100 kwa kosa la kuua. Kesi nyingine inayohusu vifo vya watu 52 zaidi inaendelea.

Muhtasari huu umeandikwa na Sauti ya Pwani FM. Taarifa kamili ya mahakama yanapatikana kwenye chanzo asilia.

MUBASHARA Sauti Ya Pwani FM Tayari Fungua stream (inafungua katika tabo mpya)